Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya project ya kuhitimu.
Nawasilisha na asanteni.
Umejibu vyema. Kuongezea, MS ACCESS inatumia visual basic ambayo unaweza kufahamu basics zake ili kuiextend.Iwe networked: kwa maana ya LAN basi unaweza kufanya kwa kutumia ODBC.
Iwe Networked: kwa maana ya shared folder kwenye LAN , basi unaweza kutumia MS ACCESS database.
Kama ndio project ya kwanza ni vyema ungefanya kwa kutumia Ms Access database kama Samedi Amba alivyokushauri. Kwa sababu Ms access ina support multi user (Concurrent connection) Kwa wakati mmoja, na pia imerahisishwa. Utatengeneza Interface na database hukohuko.
Kama unajua C++ then jifunze wxwidgets. Ni rahisi kutumia ukiisha jifunza basics ina support nzuri documentation ya kutosha. Unaweza kutumia any native database sdk au ukatumia wxDatabase kuinganisha na any eatanase of your choiceHabari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya project ya kuhitimu.
Nawasilisha na asanteni.
MS Access is dead and buried. RIP!Asante kwa kuja na hongera kwa attempt hii. Umewahi kuifikiria MICROSOFT ACCESS kwa undani wake? Binafsi nina projects ambazo zinataka "offline first" technology, na hii ndo direction nataka kuchukua.
...
Please let the dead lie dead. Any disturbance is completely unfair 😉Iwe networked: kwa maana ya LAN basi unaweza kufanya kwa kutumia ODBC.
Iwe Networked: kwa maana ya shared folder kwenye LAN , basi unaweza kutumia MS ACCESS database.
Kama ndio project ya kwanza ni vyema ungefanya kwa kutumia Ms Access database kama Samedi Amba alivyokushauri. Kwa sababu Ms access ina support multi user (Concurrent connection) Kwa wakati mmoja, na pia imerahisishwa. Utatengeneza Interface na database hukohuko.
Unfortunately, this is your personal opinion. Our African economy makes "reinventing the wheel" an expensive and unnecessary errand.MS Access is dead and buried. RIP!
Define Re-Inventing the wheel!Unfortunately, this is your personal opinion. Our African economy makes "reinventing the wheel" an expensive and unnecessary errand.
Ms SQL server ndio rahisi kushare kwenye network . So long as umeshare create instance ni easy kushare either through WiFi or wired LANHabari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked...
Ms access inafanya kazi vizuri sana na Ms sql server.Ms SQL server ndio rahisi kushare kwenye network . So long as umeshare create instance ni easy kushare either through WiFi or wired LAN
Tujuze zaidi mkuu. Coz kuanza c# and the like from scratch is not for the faint hearted, and it will take a lot of time to do basics. In a world of Rapid Application Development (RAD), where clients don't care about your hustle (as long as it works), you want to develop solutions that are both scalable and affordable.Define Re-Inventing the wheel!
And yes it is my opinions, albeit not personal and they are informed.
Then why even waste time developing? Just buy a ready made solution or pay someone to develop it.Tujuze zaidi mkuu. Coz kuanza c# and the like from scratch is not for the faint hearted, and it will take a lot of time to do basics. In a world of Rapid Application Development (RAD), where clients don't care about your hustle (as long as it works), you want to develop solutions that are both scalable and affordable...
MS Access is dead and buried. RIP!
Microsoft Access ni kama ipo nusu kaputi.Aisee. Ms Access bado ipo useful , aidha kwa kutumia database na interface yake nyenyewe i.e VBA, au kutumia Interface nyingine. VBA Runtime pia zipo supported na microsoft .
Microsoft Access ni kama ipo nusu kaputi.
"As the demand for Access programming language skills lessens, fewer programmers bother to learn the system. This begins a cycle of decline where the lack of an available developer skills pool puts project managers off from using an environment to develop a new product.
Please note "Web apps". The core desktop functionality bado ipo,and that's what this young man needed. Plus, I'm extending the functionality with wordpress, which is an excellent Web based counter part to ms accessMicrosoft Access ni kama ipo nusu kaputi.
"As the demand for Access programming language skills lessens, fewer programmers bother to learn the system. This begins a cycle of decline where the lack of an available developer skills pool puts project managers off from using an environment to develop a new product..