Naomba muongozo wa kutengeneza desktop application yenye hivi

Pia, ukiwa na office 365 ndo unaenjoy the latest from office products, including ms access.
 
Please note "Web apps". The core desktop functionality bado ipo,and that's what this young man needed. Plus, I'm extending the functionality with wordpress, which is an excellent Web based counter part to ms access

Microsoft Access inaweza ikawa bado inapata support kutoka Microsoft ila reality ni kwamba manufaa ya kujifunza na kuizoea si makubwa kwa ulimwengu wa sasa na hata kufahamu acess hakuthaminiwi sehemu nyingi kwa sasa na ndio sababu ya kuwa na controversial discussion za kujiuliza kama bado ipo hai au imeshaondolewa.

Ikumbukwe hiyo Dissertation ni somo na anajifunza skills za kuunda application ambayo inatatua tatizo katika jamii au nadharia ya profession anayosomea, mpaka anamaliza anakuwa amepitia mchakato unaomjenga na kumuandaa kukabiliana na changamoto katika profession yake. Kuna watu wametoa suggestion ya language kama C++, Python, Java, JavaScript etc. ambazo kiukweli ndizo zenye demand kubwa kwa soko letu, uwezekano wa kupata ajira/mradi unaohitaji Ms. Access ni mdogo sana ukilinganisha na hizo languages nyingine zilizotajwa hapo juu, otherwise anaweza kujikuta anagraduate huku akiwa yupo out of touch na reality ya hasa soko linataka nini.

Kuna baadhi ya vyuo pia hapa Tanzania anaweza kupata wakati mgumu wakati wa kupresent na kujustify hiyo approach ya kutumia Ms. Access, the last time I checked kwa baadhi ya vyuo hutumia Microsoft Access kwenye Small Projects kama introduction kwa wanafunzi wa mwaka wa 1 na wa 2, lakini wanapoingia mwaka wa 3 (Computer Science, Information Systems, Information Technology) au mwaka wa 4 (Comp Engineering,Telecom Engineering etc.) huwa wanabanwa na kupelekwa kwenye Java, PHP, C++, Python na RDBMS nyingine.

On the matter of extending functionality na Wordpress inategemea ni kitu gani hasa unafanya, kama nk management ya generic content Wordpress would suffice lakini kuna baadhi ya vitu hutoweza kufanya kwa Wordpress unaweza kujikuta unahitaji zaidi kutumia technology/tools nyingine Web Frameworks etc.
 
Aisee. Ms Access bado ipo useful , aidha kwa kutumia database na interface yake nyenyewe i.e VBA, au kutumia Interface nyingine. VBA Runtime pia zipo supported na microsoft .
Yes it is existing but as far as any serious development is concerned it is dead. RIP MS Access "database"
 
It is the most popular relational database management system on the planet for small business and organisations
Most popular relational database? Like really?
SQLite is everywhere where access is nowhere to be found.

Whoever wrote this article doesn't know that those business uses either spreadsheet or online system driven by other rdbms than access
 
Please note "Web apps". The core desktop functionality bado ipo,and that's what this young man needed. Plus, I'm extending the functionality with wordpress, which is an excellent Web based counter part to ms access
In desktop best database is SQLite not access. All major languages have support of it, directly or via modules/libraries

MS Access isn't as popular as WP is.
RIP MSA. You lived your life well back then!
 
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya project ya kuhitimu.
Nawasilisha na asanteni.
Nmeona watu wanatoa suggestions ila kwa uharaka wako sidhan kama zitakufaa. Kuna walosema wxwidgets etc... lkn pia unaweza kutumia dot net kama unajua c#, hapo winforms zitakusaidia kwenye UI.


Ila shida yote ya nn hio? Nmeandika apps kwa dot net ya c# na winforms ila kuna changamoto nyngi sana kiasi kwamba nakuonea huruma. Ntakupa stack nzr

Kuna JS Framework inaitwa Electron. Hii inafanya uweze kutumia web technologies kama JS, CSS na html kutengeneza desktop app.

Kuhusu database kuna option nying. Nakushauri utumie IndexDB kisha tafuta wrapper nzr kama vile lovefield ya google coz inaexpose IndexDB kwa style ya SQL. Kiasi kwamba kama uko vzr na sql basi utaweza kuitumia tu

Kuhusu networking unatumia tu normal JS networking libraries, jquery ajax au fetch API.

Hio stack rahisi sana kukupa desktop app nzr ndn ya mda mfupi. Huko wxwidgets, c++, c# utahangaika sana na pia hazina soko sana kwa sasa.
 
Too complicated.

Mwanafunzi wa bongo huyu mkuu
 
Nashauri utumie Javascript Electron, inakuwezesha kutumia web based technologies kutengeneza cross-platform desktop app na pia code yake baadaye unaweza ukaja kuitumia kwenye PWA na mobile pia.
Thats it.

Yaan ndo point ya kwanza nloona kwenye huu uzi

Electron inatumika saana, kuanzia startups hadi wazee kama wp desktop etc
 
MS access ni mult user?
 
Too complicated.

Mwanafunzi wa bongo huyu mkuu
Ndio maana nikaanza na kama unajua... kwa mtu anayejua C++ hata tu kwa basic level, hiyo library anajufunza ndani ndani ya muda mfupi sana. Sema hajasema anajua nini.

Angesema ingekuwa rahisi ku suggest tech stack itakayomfaa
 
Shida hizi colleges za IT bado zinaipa priority sana, outdated syllabuses. Ila ukija kwenye market kiukweli haina soko
Tatizo sio solo, ni solution. If you can produce a system that performs, most institutions won't care about the tech behind it. Sales and support is everything, as well as professionalism.
 
Tatizo sio solo, ni solution. If you can produce a system that performs, most institutions won't care about the tech behind it. Sales and support is everything, as well as professionalism.

I meant soko, not solo
 
Tatizo sio solo, ni solution. If you can produce a system that performs, most institutions won't care about the tech behind it. Sales and support is everything, as well as professionalism.
Sawa.

Kwa reasoning yako hio katumieni basi na fortran, cobol, pascal etc... as long as mnazijua na zinaweza kutatua unacho-solve

Mkuu software ni kitu kinachoishi. Ukiwa unaandika angalia future inataka nn? It's not about what you believe in, it's about what the future believes in.

Umesema support, support inamaanisha maintainance pia. Umetumia tech ambayo watu hawaitumii tena ili kuwahangaisha tu maintainers wa hio software.
 
Tatizo sio solo, ni solution. If you can produce a system that performs, most institutions won't care about the tech behind it. Sales and support is everything, as well as professionalism.
Labda kama unauza kwa individuals na business ndogo ndogo. Kwenye business serious lazima u present kwenye panel ikiwemo kitengo cha mafundi. Expect maswali kama unayopata hapa au zaidi.
 
Tatizo sio solo, ni solution. If you can produce a system that performs, most institutions won't care about the tech behind it. Sales and support is everything, as well as professionalism.
Mteja serious lazima atakuwa amekaa na consultant/consulting firm kuangalia mahitaji ya institution yake na kupata ushauri wa teknolojia inayofaa.

Ukikutana na serious institution ukawapelekea Microsoft Access kwa kweli kupata hiyo tender sahau.

Serious clients do care a lot about the technology used behind any proposed solution and would also seek to know the possiblity of building capacity to customize or support the solution to a certain level. Consequently, they would need to assess the relevance of the tech stack used with the availability of skill sets in the local job market.
 
Labda kama unauza kwa individuals na business ndogo ndogo. Kwenye business serious lazima u present kwenye panel ikiwemo kitengo cha mafundi. Expect maswali kama unayopata hapa au zaidi.
Kwa mteja serious kama ni tender document umesubmit nafikiri kila siku utakuwa rejected bila hata kujua sababu, utaishia kulalamika tu kwamba wanajuana😆

 
You have a point, and it's valid. But there's a cross section of clientelle ambao watatumia ms access. One important thing kukumbuka is that you're not selling the software or the technology-so-called. And a wholesome package brings a set of so many things with it.

Any wise carpenter has a hammer, a saw, a nail and a chisel. And uses each according to the present need.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…