Naomba muongozo wa namna ya kufungua kesi ya Madai

Benno Bongo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
620
Reaction score
704
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?

Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
 
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa? Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Kama unaushahidi usiotia shaka fika mahakamani na ufungue shauri.
 
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?

Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Kesi za madai zote zinaanza na kuandika DEMAND LETTER AU NOTICE usipofanya hivyo itakuwa pre mature utapigwa PO mpaka utashangaa
 
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?

Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Andaa Plaint, ambayo utaelezea sababu ya kufungua kesi, andaa ushahidi wakutosha unaodhani utakuwezesha kushinda kesi.

Demand notice ni muhimu, Ila si takwa lakisheria. Hivyo kesi haiwezi kupigwa PO kwasababu ya issue ya DEMAND NOTICE.

NB: DEMAND NOTICE, itakusaidia pindi utakaposhinda kesi kwajili ya kukazia gharama zako ulizotumia kuendeshea kesi.
Pia ninjia inayopendekezwa kutumiwa ili kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani.

Mtafute wakili kwa msaada zaidi.
 
Maelezo yangu nikama kesi yako inathamani ya 50+, ambapo utafile DC OR RC ila kwa PC nenda tu naushahidi utasikilizwa.
 
Nenda kasome government proceeding Act mkuu
Kwenye issue za kuishtaki serikali kunakitu kinaitwa kutoa taarifa. Unaipa NOTICE ofisi ya mwanasheria waserikali kabla ya siku tisini kuishtaki serikali. Na sio mambo ya kumshtaki MTU binafsi.

Pia kunatofauti kubwa kati ya NOTICE na DEMAND NOTICE.
 
Kinachozungumzwa kwenye Government Proceeding Act ni request permission in order to sue the gvnt and not an individual. So re-read
 
Kwenye issue za kuishtaki serikali kunakitu kinaitwa kutoa taarifa. Unaipa NOTICE ofisi ya mwanasheria waserikali kabla ya siku tisini kuishtaki serikali. Na sio mambo ya kumshtaki MTU binafsi.

Pia kunatofauti kubwa kati ya NOTICE na DEMAND NOTICE.
Wala sijakataa hoja yko lakini msomi naomba uniambie unaelewa nini maana ya demand letter au notice na inakazi gani kwenye civil proceedings
 
Nitaarifa inayoelezea lengo lakuchukua hatua na kutoa onyo dhidi ya mdaiwa endapo hato kubaliana na matakwa ya mdai.

Ndomana nimesema hii haiwezi kumfanya MTU apigwe PO ingwa ni muhimu.
 
Kwenye practice demand letter ni muhimu sana na ndio maana tunapoandaa plaint kwenye moja ya paragraph tuna shauliwa ueleze kuwa ulijaribu kusettele matter before court lkn imeshindikana!

Lkn pia court inasisitiza matter ziwe settled b4 court na ndio maana unaandika hizo demand

Hakuna moja kwa moja sheria ambayo ime assign kuwepo hilo lkn wewe unajua kuna vitu ni vya kisheria na vingine vya practice
 
Nakubali
 
Nitaarifa inayoelezea lengo lakuchukua hatua na kutoa onyo dhidi ya mdaiwa endapo hato kubaliana na matakwa ya mdai.

Ndomana nimesema hii haiwezi kumfanya MTU apigwe PO ingwa ni muhimu.
Kama unakubaliana na mimi ni muhimu tumemaliza hoja
 
Back
Top Bottom