Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 620
- 704
Kama unaushahidi usiotia shaka fika mahakamani na ufungue shauri.Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa? Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Kesi za madai zote zinaanza na kuandika DEMAND LETTER AU NOTICE usipofanya hivyo itakuwa pre mature utapigwa PO mpaka utashangaaWakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?
Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Unaweza kufafanua hapa?Kesi za madai zote zinaanza na kuandika DEMAND LETTER AU NOTICE usipofanya hivyo itakuwa pre mature utapigwa PO mpaka utashangaa
Demand letter ni takwa la kisheria ambapo unamwandikia upande wa piliUnaweza kufafanua hapa?
Si kweliKesi za madai zote zinaanza na kuandika DEMAND LETTER AU NOTICE usipofanya hivyo itakuwa pre mature utapigwa PO mpaka utashangaa
Njoo na hoja nakusubili mkuuSi kweli
Andaa Plaint, ambayo utaelezea sababu ya kufungua kesi, andaa ushahidi wakutosha unaodhani utakuwezesha kushinda kesi.Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?
Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu unamshughulikiaje kisheria
Hakuna kifungu kinachosema MTU asipo issue demand notice kwa mdaiwa atapigwa PO. kama kipo nionyeshe?Njoo na hoja nakusubili mkuu
Hapo sawaMaelezo yangu nikama kesi yako inathamani ya 50+, ambapo utafile DC OR RC ila kwa PC nenda tu naushahidi utasikilizwa.
Nenda kasome government proceeding Act mkuuHakuna kifungu kinachosema MTU asipo issue demand notice kwa mdaiwa atapigwa PO. kama kipo nionyeshe?
Kwenye issue za kuishtaki serikali kunakitu kinaitwa kutoa taarifa. Unaipa NOTICE ofisi ya mwanasheria waserikali kabla ya siku tisini kuishtaki serikali. Na sio mambo ya kumshtaki MTU binafsi.Nenda kasome government proceeding Act mkuu
Wala sijakataa hoja yko lakini msomi naomba uniambie unaelewa nini maana ya demand letter au notice na inakazi gani kwenye civil proceedingsKwenye issue za kuishtaki serikali kunakitu kinaitwa kutoa taarifa. Unaipa NOTICE ofisi ya mwanasheria waserikali kabla ya siku tisini kuishtaki serikali. Na sio mambo ya kumshtaki MTU binafsi.
Pia kunatofauti kubwa kati ya NOTICE na DEMAND NOTICE.
Nitaarifa inayoelezea lengo lakuchukua hatua na kutoa onyo dhidi ya mdaiwa endapo hato kubaliana na matakwa ya mdai.Wala sijakataa hoja yko lakini msomi naomba uniambie unaelewa nini maana ya demand letter au notice na inakazi gani kwenye civil proceedings
NakubaliKwenye practice demand letter ni muhimu sana na ndio maana tunapoandaa plaint kwenye moja ya paragraph tuna shauliwa ueleze kuwa ulijaribu kusettele matter before court lkn imeshindikana!
Lkn pia court inasisitiza matter ziwe settled b4 court na ndio maana unaandika hizo demand
Hakuna moja kwa moja sheria ambayo ime assign kuwepo hilo lkn wewe unajua kuna vitu ni vya kisheria na vingine vya practice
Kama unakubaliana na mimi ni muhimu tumemaliza hojaNitaarifa inayoelezea lengo lakuchukua hatua na kutoa onyo dhidi ya mdaiwa endapo hato kubaliana na matakwa ya mdai.
Ndomana nimesema hii haiwezi kumfanya MTU apigwe PO ingwa ni muhimu.