Naomba mwaliko sherehe ya kutunukiwa tuzo wana JF walioshinda majukwaa mbalimbali

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Mambo. Msifanye ubaya, naomba nishiriki siku ya kutolewa na kupokewa tuzo wale washindi tuliowachagua.

Natamani kumwona Mshana je, Bjbj, GENTAMYCINE na wengine
 
kwani kuna hafla inafanyika kuwapongeza?
na kama kuna hafla, inafanyikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…