Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee...ntakuja na hela ya soda, kuhusu jogoo utanisamehekaribu kwangu,
uje na kuku jogoo aina ya kuchi na,
alfu tano ya soda na,
mia tatu ya bagia kwa ajili ya chai asubuhi na,
mia mbili ya kahawa,
KARIBU MGENI MWENYEJI NIPONE
Hata kama vyuma vimekaza...ciyo hivi axeeKaribu kwangu ila uje ukiwa umeshakula kabisa.
ntakaribia..uzalendo ni kupeana diliKaribu hapa mtaa wa Kongo tunauza mashati kutafuta riziki na mwisho wa siku utapata msosi safi kutoka kwa wamama wanaotuleteaga Chakula mida ya mchana
Ni waelewa hata kwa mkopo wanakupa ila uwe mwaminifu kesho ukiuza kumbuka kulipa deni
Maisha yetu ni mazuri tu na tunafurahia