asante sana mkuu, ngoja nilifanyie kazi. ngoja nitakwenda Geita nikapate mauzoefu kwanza.Kama upo tayari nenda mkoa wa Geita ukifika anza taratibu upate uzoefu ikiwezekana anzia chini kabisa ujue madili yanavyochezwaga ukikomaa ndio unaanza biashara nyingi haziko nyepesi kama unavyoziona....
Kama hauko tayari kufanya mambo ya kwenda kwa waganga achana na hiyo biashara hutoiweza inahitaji nguvu kutoka ndani madini, samaki sio biashara za watu dhaifu.
madini mbalimbali kama dhahabu, alimasi n.kUwe broker wa madini gani?
madini mbalimbali kama dhahabu, alimasi n.k
asante mkuu kwa maelekezo, maana mtu unaweza lia kilio cha mbwa mwitu kabisa,,,Kwa dhahabu itakua ngumu sana
Kwako kwasbb makota wote wa dhahabu huwa wanakatabia ya kuchanganya na kakumba,vilevile soko la dhahabu lipo wazi na kujulikana bei yake ulimwenguni,hata kama utapata faida itakua ni ndoogo saana
Lkn kwa almasi hapo nakuunga mkono ila kuwa makini saana na ma broker wa maganzo,wale neno lao la kuwaamini ni salamu tu,mengineyo yote usiwaamini
Notice-Almasi kama haufahamu nakushauri ujifunze kwanza kabla ya kuingilia hio biashara,usije ukalia kilio cha mbwa mwitu