Naomba mwenya CV ya Nape Nnauye

Ana degree ya politics ya wk 2 kutoka beijgin na vilevile ana masters ya ccm ya chamwino ya wk 1 na dessertation ya siku 3
 
Kidogo tu, Nape aliwahi kufundisha evening class Shule ya Sekondari Dr. Salimin Singida mwanzoni mwa miaka ya 2000.
 
Ukitaka CV ya Nape wala ikupe shida wewe fuatilia mambo yake kama jinsi ulivyosema kua huwa humuelewi sasa hiyo ndio CV yake!
 
Kuna wasomi tena viongozi wetu wana CV za kutisha lakini hamna cha maana zaidi ya ufisadi, kama vile Prof Mahalu, Dr Balali, Chenge, prof Kapuya, CCM inaongoza kuwa na wasomi wengi lakini kuna nini zaidi ya Ufisadi, hiyo CV ya Nape sio muhimu akaenayo mwenyewe tu itamsaidi kutafuna nchi
 
Natamani sana kuona amesomea wapi na wapi....na ufaulu wake!!
 
Tumwulize mswaili mwenzake aliyempa ukuu wa wilaya,mpaka katibu wa chama!?
 
Inasemekana Ni mtoto wa nje ya ndoa wa mzee Mnauye,(KAMA NI KWELI ) ALIZAA NA MAMA MMOJA WA IRAMBA MAENEO YA IAMBI JINA LAKE NI Napegwa
yaani Mungu amenipa ! haijulikana kama mzee alimtunza kwa hiari au kupitia ustawi wa jamii!
 

Nafikiri huelewi maana ya CV!CV inaonyesha mambo mengi zaidi ya masuala ya elimu.Kwa mfano Jina kamili,tarehe halisi ya kuzaliwa,wapi alizaliwa,kabila lake,uzoefu wake katika shughuli mbalimbali,anapendelea mchozo gani,anaweza kuzungumza lugha gani na lugha gani hawezi!mambo yote hayo na mengine yakijumuhushwa ndiyo tunapata CV.Sasa kuna ubaya gani watu kuulizia CV ya mtu?kwa nini watu wakiuliza CV ya mtu hujengeka hisia kuwa watu wanataka kujua kama amesoma au hajasoma wakati CV huonyesha masuala mengi?Tubadilike jamani,tuache fikra potofu!!!
 
Inasemekana Ni mtoto wa nje ya ndoa wa mzee Mnauye,(KAMA NI KWELI ) ALIZAA NA MAMA MMOJA WA IRAMBA MAENEO YA IAMBI JINA LAKE NI Napegwa
yaani Mungu amenipa ! haijulikana kama mzee alimtunza kwa hiari au kupitia ustawi wa jamii!

Haya ndiyo mambo ambayo watu wanataka kujua!ieleweke jamani CV haionyeshi elimu pekee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…