Napenda leo tuangalie dua hii na je; wabunge wetu wanayazingatia maneno haya?
Kanuni ya 31. Dua ya kuiombea nchi yetu na kuliombea Bunge itasomwa na Spika, itakuwa na maneno yafuatayo:-
Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu na Dunia, Umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu na Mabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, Umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha marefu ili pamoja na wanaomshauri, wadumishe utawala bora. Utuongezee hekima na busara, sisi Wabunge wa Bunge hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na utupe uwezo wa kujadili kwa dhati, mambo yatakayoletwa mbele yetu leo, ili tufanye maamuzi sahihi yenye manufaa kwa watu wote na ustawi wa nchi yetu. Amina..
Baada ya mada hii tutajadili kiapo cha wajumbe wa bunge la Katiba na je; ni kweli wanayoyatamka wanayatekeleza?