naomba mwenye kufahamu hili anisaidie

naomba mwenye kufahamu hili anisaidie

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine?
je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
 
benki watahitaji CashFlow isiyopungua miezi 6.vigezo vya biashara-leseni,Tin,bizness registration
 
Back
Top Bottom