figganigga JF-Expert Member Joined Oct 17, 2010 Posts 25,724 Reaction score 55,906 Oct 14, 2011 #1 hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine? je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine? je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,385 Reaction score 568 Oct 17, 2011 #2 benki watahitaji CashFlow isiyopungua miezi 6.vigezo vya biashara-leseni,Tin,bizness registration