anuary salum
Member
- Dec 7, 2012
- 70
- 4
Nipo kwenye bank ya ABC Nataka kuchukua mkopo sasa wanahtaji basic salary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kwenye bank ya ABC Nataka kuchukua mkopo sasa wanahtaji basic salary
unachekesha kweli sasa wewe hujui mshahara wako ni kiasi gani? mburula kweliiiii
Ucdhalilishe Walimu,hakuna Mwalimu Mjinga Kiac Hicho
ndo walimu wetu hawa.... usishangae.
Sasa ni wazi kuwa baadaye nitaanzisha thread ya kuomba radhi kwenu wewe na MKJJ.
Yale niliyosema jmushi1 yametimia, kazi kwao, ama zimekwisha? mmmmmmm!!!!
Laki na nusu
Nipo kwenye bank ya ABC Nataka kuchukua mkopo sasa wanahtaji basic salary
Ucdhalilishe Walimu,hakuna Mwalimu Mjinga Kiac Hicho