Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

Acha uongo unachukua vp mkopo bila salary sleep na licha ya ivo kweli unafanya kazi bila kujua basic salary yko umenishangaza
 
khaaaaaa mawenge hayo ati hujui.salary yako mmmhh kuna walakin
 
wewe ni mwanaume unayetaka kujua salary ya mpenzi wako
 
Mwalimu wa nini? Bendi,kwaya au viduku?
 
Nahic mpnz wako anakuficha mshahara wake, kaulize hazina kuu watakuambia
 
Kweli ameenda kukopa hata mshahara wake hajui?
 
Huyu ndio unategemea amfundishe mwanao afaulu, any way hawa ndio walimu wa BRN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…