benbry Senior Member Joined Apr 3, 2012 Posts 183 Reaction score 55 Jan 2, 2019 #1 Naombeni msaada wa yeyote anayejua bei ya mbao kule Mafinga Iringa. Nataka kujua bei ya 6 *2, pamoja na 1* 10 ambazo ni treated(zenye dawa) anayejua bei tafadhali anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni msaada wa yeyote anayejua bei ya mbao kule Mafinga Iringa. Nataka kujua bei ya 6 *2, pamoja na 1* 10 ambazo ni treated(zenye dawa) anayejua bei tafadhali anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
Negemu Senior Member Joined Dec 26, 2017 Posts 142 Reaction score 142 Jul 1, 2019 #2 Ulipata bei yake mkuu?