Nimekuwa mteja wa access bank tangu mwaka juzi,
Nilikopa nikarudisha,,mara ya pili napo nilikopa nikarudisha,japo nilichelewesha kama week 2 hivi,,,yaani kama ni tar 3 siku ya marejesho napeleka tar 13 au 17,nimefanya ivo kama mara tano,namwezi huu nilitakiwa tar 5 nimeepeleka tar 17na nimedable,nimelipa naya next mnth ,,yaani nimemaliza sidaiwi,,
Nataka tena naambiwa siwezi pata tena,nimekosa sifa ,mwenye kujua ni kweli? na nifanyeje nipate tena?nimwone manager wa mikopo?
Kama sisi wenyeji wanattufanyia ivi inskuwaje kwa wageni kabisa?
Kunahaja gani kukaa na kadi yao ya bank? minawarudishia,,nisaidieni