Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Kabla ya yote niwasalimu kwa wale Wakristo, Bwana Yesu asifiwe, na Waislamu Assalamualaikum.
Natanguliza shukran zangu kwa yule atakaye fikiria na kuamua kunishika mkono.
Katika maisha yangu nimekuja kugundua nina mawazo fulani ambayo wengi nikiwashirikisha wanayatumia na kutoka katika maisha!
Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kuandaa mpango wa mradi halafu nikawasilisha sehemu husika, nikawezeshwa mtaji halafu nikatekeleza adhima niliyonayo kwa kushirikiana na mfadhili au kufanya binafsi.
Kwa yeyote mwenye kufahamu mashirika/taasisi ambayo wanapokea mpango wa mradi na wakaamua kufadhili kwa njia yoyote nipo tayari.
Nina miradi zaidi ya 5 lakini hizi 3 ni za moto, nina uhakika itatengeneza faida kubwa na kuwa msaada kwa jamii.
Karibu!