Naomba mwenye kuyafahamu mashirika yanayopokea na kufadhili miradi mbalimbali

Trinity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
1,828
Reaction score
3,508
Kabla ya yote niwasalimu kwa wale Wakristo, Bwana Yesu asifiwe, na Waislamu Assalamualaikum.

Natanguliza shukran zangu kwa yule atakaye fikiria na kuamua kunishika mkono.

Katika maisha yangu nimekuja kugundua nina mawazo fulani ambayo wengi nikiwashirikisha wanayatumia na kutoka katika maisha!

Sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kuandaa mpango wa mradi halafu nikawasilisha sehemu husika, nikawezeshwa mtaji halafu nikatekeleza adhima niliyonayo kwa kushirikiana na mfadhili au kufanya binafsi.

Kwa yeyote mwenye kufahamu mashirika/taasisi ambayo wanapokea mpango wa mradi na wakaamua kufadhili kwa njia yoyote nipo tayari.

Nina miradi zaidi ya 5 lakini hizi 3 ni za moto, nina uhakika itatengeneza faida kubwa na kuwa msaada kwa jamii.

Karibu!
 
Tafuta pesa mzee[emoji23]
 
Acha siasa hakuna ambaye hana idea za miradi mbali mbali kama unavyosema mm nakushauri nenda maeneo ya iringa vijijini huko katagute shamba ukime upate Capital uje ufanye hicho unachosema ni cha moto kwenye hivyo vitano[emoji23]
 
Acha siasa hakuna ambaye hana idea za miradi mbali mbali kama unavyosema mm nakushauri nenda maeneo ya iringa vijijini huko katagute shamba ukime upate Capital uje ufanye hicho unachosema ni cha moto kwenye hivyo vitano[emoji23]
Mashamba ninayo nahisi next year nitaanza kuvuna parachichi yale ya mwanzo mwanzo.!

Shamba la miti lipo shida soko limeyumba ila kama una pesa njoo nikufaulishie eka 4 za mipaini.
 
Sio kwamba ungetoa ata wazo moja au mawili kama sample ili tuamini kma ni kweli pia kuongeza uzito wa andiko lko MKUU
 
Habar trinity naomba nicheck kwa namba hii 0622408585 tuongee kuhusu hizo business ideas kama zitakuwa poa tunaweka aggrements mezan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…