Naomba mwenye link ya matokeo ya kachaguliwa kidato cha kwanza mwaka 2024 atume

kataza

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
28
Reaction score
58
Habari comrades kichwa cha habari chajieleza .Mwenye nayo please [emoji120] atume humu
 
Selection mbovu sana,sijajua wanatumia vigezo gani,watotowana A kiswahili na C ya hesabu zilizobaki zote ana B wastan wake B alafu kapelekwa shule ya BWENI,wapo watoto wamepiga A3 zikiwepo hesabu na sayans na B zilizobaki na wameachwa shule za kutwa.rushwa haitakaa iishe
 
Hii nchi ya kijinga sana,yani nakumbuka kipindi tunasoma sisi ukifaulu karatasi za kwenda shule unazifata wilayan,
basi nilivyofika wilayan kuchukua karatasi wakanambia taja shule uliyofaulu nikataja,
Kucheki jina halipo kwenye listi,baada ya kurupushan kumbe jina limefanywa kuchomekwa kwenye shule B baada ya kunikata kwenye shule A.mtu mmoja akanipa siri kilichofanyika nikashukuru mungu maana sikua najua lolote,hivyo nikaripoti shule B bila karatasi ila kwasababu ilikua shule ya kitaifa na ufaulu wangu ulikua mkubwa wakashindwa kunifukuza,mkuu wa shule akanambia wewe umeandikwa kuja hapa lakin karatasi zako za tsm 9 hazipo.
Cha ajabu nilisoma pale mpaka nikamaliza na nikatoka na matokeo yangu freshi tu
N.B shule A ilikua TABORA BOYS na shule B ilikua GALANOS.
 
Hongera kwa kukomaa.....TBS walikubania lakini hawakuweza
 
Leo hii kafanyiwa mwanangu dah,mwanangu kapiga A za hesabu,sayansi,kiswahili na kingereza zingine B cha ajabu kapangwa shule ya kutwa.kwani wanatumia vigezo gani?naomba mnisaidie kujua.
 
Hii nchi ina watu waliopewa madaraka ambao hawana weledi hata kidogo.yani wanaendekeza rushwa bila kujua madhara yake ya baadae,ndiomana matoto mazuzu hayatakaa yaishe kwasababu ya laana kudhulumu wenye sifa na wanaostahili.
Nilikua nategemea labda siku hizi kwa huu upangaji wa moja kwa moja labda kutakua na ahueni kumbe ndio kabisaaa hovyo.
Mtaani kuna shule zaidi ya sita za msingi isipokua ushindani upo baina ya shule mbili tu yani bato kweli.
Cha ajabu hata matokeo shule B hawana wastan wa A hata mmoja ila wanafunz wengi wamepangwa bweni kitaifa,shule A wanafunzi wenye wastani wa A wapo sita na hakuna aliepangwa bweni hata mmoja.
 
Hii pia ikanipa picha ya nyuma kipindi nasoma kuna mwalimu wetu mmoja alikua na watoto wake wanasoma kwenye shule A,alivyoona tunakaribia kufanya mtihani wa taifa alimuhamisha mwanae kwenda shule B yule mtoto alikua haingii hata top ten ila cha ajabu alikwenda bweni.serikali tunafanya nini jaman,kwanin hakuna mabadiliko?watendaji wa hovyo sana.
 
Halafu sijui page haijawa tayari..!!!?? Maana majina mengine si ya mikoa wala wilaya za Tanzania

1702875062242.png

Mfano;

1. The wedding, ukiingia ndani ni Arusha
Na ndani ya Arusha kuna The Wedding, Throat, Card etc, eti ndo wilaya

1702875408209.png

2. The beginner etc ndo Mwanza (tena imeandikwa Wanza) hala kuna wilaya ya GET ANNOYED

1702875457429.png

3. The beach, eti ndo pwani, ndani yake kuna DWARF kama wilaya ya Kibiti, NA KUNA WILAYA YA english

1702875527325.png

4. Etc.

Yaani makosa mengi sana.

Kama wameweza kukosea hivyo, kuna uhakika gani kama hata shule walizopangiwa ndo zenyewe..!!??
 
Leo hii kafanyiwa mwanangu dah,mwanangu kapiga A za hesabu,sayansi,kiswahili na kingereza zingine B cha ajabu kapangwa shule ya kutwa.kwani wanatumia vigezo gani?naomba mnisaidie kujua.
Mwaka huu 2023, vijana waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi na kufanikiwa kupata wastani wa daraja 'A' ni 53,943 (3.98%) ya wataihiniwa wote.
Kwa akili ya haraka haraka huyo wa kwako amepata wastani wa daraja "B".
Shule za sekondari bweni (za serikali) kwa nchi nzima ni 38 tu na zina uwezo wa kubeba wanafunzi 4,300 tu kwa mchujo maalumu wa hao 53,943 waliopata daraja A!
Hawa 49,643 waliobaki kwa waliopata A (53,943-4,300), wazazi wao (baadhi - wenye uwezo) hawajabwata maana watoto wao watawapeleka shule nzuri tu za private.
Alafu wewe kenge unakuja hapa na kubwatabwata na hiyo B yako!
 
Alafu wewe kenge unakuja hapa na kubwatabwata,subiri majibu yatakuja alafu ndio utakapo nyamaza kimyaaaa
 
Mwaka huu 2023, vijana waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi na kufanikiwa kupata wastani wa daraja 'A' ni 53,943 (3.98%) ya wataihiniwa wote.
Kwa akili ya haraka haraka huyo wa kwako amepata wastani wa daraja "B".
Shule za sekondari bweni (za serikali) kwa nchi nzima ni 38 tu na zina uwezo wa kubeba wanafunzi 4,300 tu kwa mchujo maalumu wa hao 53,943 waliopata daraja A!
Hawa 49,643 waliobaki kwa waliopata A (53,943-4,300), wazazi wao (baadhi - wenye uwezo) hawajabwata maana watoto wao watawapeleka shule nzuri tu za private.
Alafu wewe kenge unakuja hapa na kubwatabwata na hiyo B yako!
Laiti yangekua yamekukuta ukweli nakwambia usingeongea lugha tofauti na sisi wahanga.ila subiri utanyamaza kimyaa muda sio mrefu.
 
Mwaka huu 2023, vijana waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi na kufanikiwa kupata wastani wa daraja 'A' ni 53,943 (3.98%) ya wataihiniwa wote.
Kwa akili ya haraka haraka huyo wa kwako amepata wastani wa daraja "B".
Shule za sekondari bweni (za serikali) kwa nchi nzima ni 38 tu na zina uwezo wa kubeba wanafunzi 4,300 tu kwa mchujo maalumu wa hao 53,943 waliopata daraja A!
Hawa 49,643 waliobaki kwa waliopata A (53,943-4,300), wazazi wao (baadhi - wenye uwezo) hawajabwata maana watoto wao watawapeleka shule nzuri tu za private.
Alafu wewe kenge unakuja hapa na kubwatabwata na hiyo B yako!
 
Attachments

  • Screenshot_20231218-195454_FotoGrid - Photo Collage.jpg
    Screenshot_20231218-195454_FotoGrid - Photo Collage.jpg
    24.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231218-195043_FotoGrid - Photo Collage.jpg
    Screenshot_20231218-195043_FotoGrid - Photo Collage.jpg
    25.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231218-193750_Chrome.jpg
    Screenshot_20231218-193750_Chrome.jpg
    14.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231218-194001_Chrome.jpg
    Screenshot_20231218-194001_Chrome.jpg
    15.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231218-193852_Chrome.jpg
    Screenshot_20231218-193852_Chrome.jpg
    11.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231218-193536_Chrome.jpg
    Screenshot_20231218-193536_Chrome.jpg
    17.1 KB · Views: 5
Hayo ni matokeo sasa angalia selection zao hapo chini nakutumia.
 
Mwaka huu 2023, vijana waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi na kufanikiwa kupata wastani wa daraja 'A' ni 53,943 (3.98%) ya wataihiniwa wote.
Kwa akili ya haraka haraka huyo wa kwako amepata wastani wa daraja "B".
Shule za sekondari bweni (za serikali) kwa nchi nzima ni 38 tu na zina uwezo wa kubeba wanafunzi 4,300 tu kwa mchujo maalumu wa hao 53,943 waliopata daraja A!
Hawa 49,643 waliobaki kwa waliopata A (53,943-4,300), wazazi wao (baadhi - wenye uwezo) hawajabwata maana watoto wao watawapeleka shule nzuri tu za private.
Alafu wewe kenge unakuja hapa na kubwatabwata na hiyo B yako!
Hapo ni mmoja tu ndio anaendana na shule aliyopangwa.
 
Angalia matokeo ya ERNEST JOHN SHEMLINDA,huyo ndio pekee anastahili kwenda na pia bado wamemuonea.
 
Back
Top Bottom