F fatherliva Member Joined Jun 11, 2022 Posts 18 Reaction score 24 Aug 27, 2022 #1 Nawasalimu wanajamvi habari zenu! naomba mwenye mawasiliano ya SIDO au kama wana account humu jf namba tuwasiliane nina jambo nahitaji ufafanuzi kutoka kwenu.
Nawasalimu wanajamvi habari zenu! naomba mwenye mawasiliano ya SIDO au kama wana account humu jf namba tuwasiliane nina jambo nahitaji ufafanuzi kutoka kwenu.
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,059 Reaction score 3,504 Aug 28, 2022 #2 Ingia google andka sido lada singida au sido mbeya itakuletea information zao na contact za sehm uliopo then wapgie wakupe ABC mjasiliamal
Ingia google andka sido lada singida au sido mbeya itakuletea information zao na contact za sehm uliopo then wapgie wakupe ABC mjasiliamal
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 28, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...