Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Naomba kujua kuhusu huo mkopo.kama heading inavyojieleza. Jf hamjawahi kuniangusha.
Karibuni
Karibuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riba yake ikoje, vp ukishindwa kurejesha rejesho kwa wakati inakuweje, ...Ni mikopo ya MDA mfupi kutokana na mzunguko wa account yako. Siku 3,5,7,14 Hadi mwezi 1
Hao mkopo ni chap ukiomba wanatathimisha salio lako la mshahara,au mapato kwa nwezi..harafu wanakupa kiwango chao cha kukopa na kulipa.....naomba kujua kuhusu huo mkopo.kama heading inavyojieleza. Jf hamjawahi kuniangusha.
Karibuni
Kwa mwaka ni mara asilimia 300
Mkuu ukichelewesha mda gani wanafyeka pesa ikiingia kwenye Account? Si unalipa mwenyewe kwenda kwao sio mpaka ikatwe, ufafanuzi please.Mm walinikopesha laki moja nikalipa laki moja na elf kumi na tano Kwa muda wa siku 28
Sema wako fasta muda huo huo ela inaingia 😃
Ukichelewa kulipa ikiingia ela kwenye akaunt wanabeba 😀
Ikipita siku ulizoahid kulipa utachagua mwenyew ni siku moja wiki au siku 28Mkuu ukichelewesha mda gani wanafyeka pesa ikiingia kwenye Account? Si unalipa mwenyewe kwenda kwao sio mpaka ikatwe, ufafanuzi please.
Shukrani mkuu, kwa mana ile tarehe ikifika ulitakiwa kulipa ikifika na hujalipa unaweza ongeza siku. Nyingine kama ulivyoainisha, vipi kuhusu riba kuongezeka. AsanteIkipita siku ulizoahid kulipa utachagua mwenyew ni siku moja wiki au siku 28
Mm sijawah kuzidisha mda mrefu kuhus riba kuongezeka sijui kwakweli ila muda ukipitabukiweka Hela wanakat juu Kwa juuShukrani mkuu, kwa mana ile tarehe ikifika ulitakiwa kulipa ikifika na hujalipa unaweza ongeza siku. Nyingine kama ulivyoainisha, vipi kuhusu riba kuongezeka. Asante
maelekezo ya kukopa tafadhali, mimi naona namaliza vocha zangu bila mafanikioMm sijawah kuzidisha mda mrefu kuhus riba kuongezeka sijui kwakweli ila muda ukipitabukiweka Hela wanakat juu Kwa juu
Uwe na nmb mkononi app ndio rahismaelekezo ya kukopa tafadhali, mimi naona namaliza vocha zangu bila mafanikio
10% mwezi? hapana hawa kausha damu official na serikali inalifungia macho tu. HatariHao mkopo ni chap ukiomba wanatathimisha salio lako la mshahara,au mapato kwa nwezi..harafu wanakupa kiwango chao cha kukopa na kulipa.....
Riba yao ni ya kawaida kama sikosei ni 10 au a 12 kwa siku 30
Wana vimeseji vya kukumbusha vya hapa na pale....hawapo kimya kama Sarary advancy.....si unajua tena mshiko fasta ni kama mchepuko wa Salary advance so wana kelele kidogo sana za hapa na pale,ila wapo good sana na friendly....hawakusemei kwa ndugu😜😜😜😜😜
Unaweza kuchelewa kulipa ila mimi sijawahi chelewa zaidi ya siku mbili.....Sasa ukichelewa kuwalipa si unakua umevunja mkataba boss...
Hapo litakalo tokea lolote siolawama zao😜😂Hivyo ukichelewa kulipa wakiamua kukubanika au kukuanika ni hiari yao...lipa kwa wakat boss!