Naomba mwenye ufahamu na Taasisi ya Benjamini Mkapa anisaidie hapa

Naomba mwenye ufahamu na Taasisi ya Benjamini Mkapa anisaidie hapa

Mbogo nyeusi

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
233
Reaction score
541
Wanajamvi nawasalimu katika jina la Bwana Mungu Mkuu.

Taasisi ya Benjamini Mkapa ni kitengo ndani ya serikali au ni Taasisi binfsi? Nauliza hivyo kujua kama mtu akiajiriwa na hiyo taasisi anakuaa na ajira ya kudumu au ya mkataba?

Taasisi ya Benjamini Mkapa Inafanya kazi na TAMISEMI na ajira zinatangazwa kwenye Tovuti ya TAMISEMI.

Ninacho omba kwenu wanajavi kwa wale wanaoifahamu hii Taasisi vizuri, ukiajiriwa nao ni kama ajira serikalini za permanent au ni za muda? Na ipi faida unaweza pata kuajiriwa na hii Taasisi tofauti na serikali?

Naomba ushauri wenu!
 
Back
Top Bottom