Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaipendaje gar usiyo na vivid info nayo achen mambo ya kisengeremaHabari wakuu.
Naomba kujuzwa hiyo model hapo juu. Faida na hasara zake kuanzia kwenye engine,body,comfortability,na kadhalika kwa wale ambao wameshawahi kuimiliki.
Ahsante sana.