Naomba kujuzwa hiyo model hapo juu. Faida na hasara zake kuanzia kwenye engine, body, comfortability na kadhalika kwa wale ambao wameshawahi kuimiliki.
Habari wakuu.
Naomba kujuzwa hiyo model hapo juu. Faida na hasara zake kuanzia kwenye engine,body,comfortability,na kadhalika kwa wale ambao wameshawahi kuimiliki.
Ahsante sana.