Naomba mwenye ujuzi, uzoefu au connection ya kufanya modification ya muonekano wa Toyota belta

Naomba mwenye ujuzi, uzoefu au connection ya kufanya modification ya muonekano wa Toyota belta

Waragah

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
26
Reaction score
16
Wakuu natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu ....
Lengo la mapambabo nikuhakikisha kesho inakuwa njema kwa kika mmoja maana ndo ombi leti kila iitwapo leo .
Naomba mwenye ujuzi, uzoefu au connection ya kufanya modification ya muonekano wa Toyota belta
IMG_4480.jpg

Kuwa na muonekano wa premio kwa mbele ... yaani namanisha kama hvi
IMG_4479.jpg

Natanguliza shukurani kwenu.

IMG_4480.jpg
 
Inawezekana kabisa ,mtafute oomy painter inster mshirikishe wazo lako atakusaidia

sent from HUAWEI
 
Mimi nataka izuzu bighon iwekewe engine na gearbox ya rav 4
Mimi sio mtaalam sana ila injini ya rav 4 ni ndogo sana Kwa Isuzu bighorn at least 1kd,1kz kama ni petrol at least utafute injini 3uzj ni small V8 injini itakaa Bomba
 
Hio toyota belta nunua tu body kit uipendezeshe iwe kama hivi

Screenshot_20210727-204835_Samsung Internet.jpg


Screenshot_20210727-204829_Samsung Internet.jpg


Screenshot_20210727-204824_Samsung Internet.jpg


Screenshot_20210727-204806_Samsung Internet.jpg
 
Aisee yani hata mimi haka kagari nimetokea kukapenda sana ila shida ikawa hapo kwenye bonet yake au domo lake kuwa kafupii inakua kama mdomo wa chizi nikawaza nikikanunua haka siwezi kukata na kuunga pale iwe
 
Back
Top Bottom