Mimi sio mtaalam sana ila injini ya rav 4 ni ndogo sana Kwa Isuzu bighorn at least 1kd,1kz kama ni petrol at least utafute injini 3uzj ni small V8 injini itakaa BombaMimi nataka izuzu bighon iwekewe engine na gearbox ya rav 4
Umenikumbusha kuna mada moja humu jukwaani inaelezean vile walivyoibadilisha AlphadUza hiyo Belta, ongeza hela Nunua Premio. Unachotaka kukifanya kwa Bongo bii bado sanaa, utaishia kuharibu tu gari lako.