Naomba mwenye uwelewa anieleweshe na anisaidia njia bora ya kupata wasambazaji

Naomba mwenye uwelewa anieleweshe na anisaidia njia bora ya kupata wasambazaji

azithromycim

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
288
Reaction score
714
Wakuu Mimi nimeanzisha kampuni iitwayo kwezitu ambayo inatengeneza chai ya karafuu yaani clove tea.
Kampuni imekizi vigezo vyote vya kisheria na inaruhusiwa kuzalisha na kufanya biashara.
Wakuu natafuta wasambazaji au makampuni ya masoko yaani marketing company ili nifanye nao mazungumzo ya kibiashara namna ya kuingiza bidhaa hiyo mpya sokoni.
Naomba mwenye uwelewa anieleweshe na anisaidia njia bora ya kupata wasambazaji au hayo makampuni.
Mawasiliano yangu ni
0755 293 404
0655 673 860
IMG_20190325_004625_276.jpeg
 
Back
Top Bottom