Ahsante!Gari ni imara sana, ulaji wa mafuta mzuri, spare zipo za kutosha. Tatizo ni moja tu kama una familia kubwa nafasi ni ndogo pale ndani. Ila kama ni wewe tu au wewe tu na mkeo sawa.
Gari ni nzuri sana kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Showroom ni ngumu kupata. Utapata kwa watu tu, andaa 4M hadi 5M utapata nzuri. Usiangalie namba, kagua ubora wa gari.Ahsante!
Vp bei showroom, au kwa mtu used inachezea ngapi mkuu naomba nifahamishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Showroom ni ngumu kupata. Utapata kwa watu tu, andaa 4M hadi 5M utapata nzuri. Usiangalie namba, kagua ubora wa gari.
Sent using Jamii Forums mobile app