Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello Team Howo,
Naomba kufahamishwa kama kuna muungwana ambaye anamiliki au alishawahi kuendesha hizo Howo za Kichina refurbished utendaji Kazi wake ukoje, naomba wale wapenda king of the road` Scania` wawe wapole please.