Ni gari nzuri kwa kuto kukwama wala kushindwa kupanda milima. haina speed sana ila inanguvu sana. Cabin yake sio comfort kama gari za kizungu, ni Gari ambayo ukiiendesha muda mrefu lazima ikuletee magonjwa ya mgongo maana sio comfort kabisa, uharibikaji wake kwakweli ni wa haraka bila kutazamia.