Naomba mwenye uzoefu na mfumo wa VAT anisaidie haya

Ndo nilitaka nipate msaada wa maelezo jinsi ya kuwa regsted na jinsi ya kuutumia huu mfumo wa VAT.
Kama unafanya shughuli za kitaalamu au zinazohusiana na hizo unapata VAT bila vigezo. Ila kwa kampuni za kawaida inabidi kwanza uwe turnover ya 200m kwa mwaka au 100m ndani ya miezi 6 ili uipate hiyo VAT certificate. Baada ya hapo utatakiwa kufile VAT returns kila tarehe 20 yamwezi
 

Attachments

  • 20240810_132331.jpg
    2.7 MB · Views: 8
Nashukuru sana. Je kwa mtu ambaye tayari kasajiriwa anawezaje kufile returns.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…