Naomba mwenye uzoefu na miradi ya ujenzi kwa wenye kampuni za labor based technology

Naomba mwenye uzoefu na miradi ya ujenzi kwa wenye kampuni za labor based technology

Tequila sir

Member
Joined
Mar 21, 2023
Posts
43
Reaction score
43
Wakuu habari ya siku na mihangaiko ya maisha ya Kila siku.

Baada ya salamu niende Moja Kwa Moja kwenye lengo langu. Kama kichwa kinavosema ninahitaji ufafanuzi wa hizi kampuni za labor based technology na miradi yake Kwa yeyote mwenye ufahamu na hizi kampuni

Natanguliza shukrani
 
Miradi yake ni kufanya matengenezo na ukarabati wa barabara kwa kutumia technolijia stahiki ya nguvu kazi...

kazi zake huwa ni za tanroads,tarura, na halmashauri

tenda zake huwa zinarange kwenye milioni 20 mpaka 50

Kwa anayehitaji mtaalamu mwenye cheti cha labour base anicheki nipo hapa..
 
Back
Top Bottom