Naomba mwenyeji MMU

Naomba mwenyeji MMU

Hot Pare

Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
27
Reaction score
22
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
 
Last edited by a moderator:
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa:msela:

kirefu cha MMU ni nini,tafadhali naombeni jibu
 
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
Kumbe wageni tupo wengi ! acha nami niengeze ufahamu.
 
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:

Neno la mwisho "msela" unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom