Naomba mwongozo jinsi ya kupata lebo na vikopo vya plastic vyenye mifuniko

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Asalam aleykum jamiya

Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.

-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and face softify 7 days
-Mafuta ya kuondo michirizi ya aki mama 14 day
And so so
Natafuta zaidi lebo nzuri sana

Wasalaam
 
It’s easy and possible kupata lable nzuri, vibobo na kila kitu! Sema tu mkoa wako na utapata msaada!

Lable and logo unaamua wewe kwa msaada wa designer, ambaye anaweza pia kukusaidia ku print!

Kwa vibobo kama unakaa Dar-Es-salaam nenda pale Kariakoo utaweza kupata kila kitu unachoitaji!
 
Asalam aleykum jamiya

Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.

-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and face softify 7 days
-Mafuta ya kuondo michirizi ya aki mama 14 day
And so so
Natafuta zaidi lebo nzuri sana

Wasalaam
Label zinatengenezwa na kuprintiwa kwenye karatasi zinazokuja na gundi yake yani unabandua karatasi flan nyuma inabaki label na gundi, nakushauri atakayekutengenezea umwambie pia aprinti lebel zenye lamination siyo ile lamination unayojua wewe bali ni layer ndogo sana inazuia lebel kulowa hata zikiwa sehemu yenye maji.
Vikopo nenda kariakoo utapata vikopo vya kila aina.
 
Attachments

  • photo_2020-06-13_22-34-49.jpg
    photo_2020-06-13_22-34-49.jpg
    44.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom