Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Asalam aleykum jamiya
Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.
-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and face softify 7 days
-Mafuta ya kuondo michirizi ya aki mama 14 day
And so so
Natafuta zaidi lebo nzuri sana
Wasalaam
Huwa zinauzwaje na je huwa na gundi yake kabisaKaribu mkuu nikutengenezee label (Graphics designiner)
Label zinatengenezwa na kuprintiwa kwenye karatasi zinazokuja na gundi yake yani unabandua karatasi flan nyuma inabaki label na gundi, nakushauri atakayekutengenezea umwambie pia aprinti lebel zenye lamination siyo ile lamination unayojua wewe bali ni layer ndogo sana inazuia lebel kulowa hata zikiwa sehemu yenye maji.Asalam aleykum jamiya
Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa kipekee nilio jifunza wakati nikiwa africa ya magharibu.
-Mafuta ya kuondoa pimples kwa haraka and face softify 7 days
-Mafuta ya kuondo michirizi ya aki mama 14 day
And so so
Natafuta zaidi lebo nzuri sana
Wasalaam
Label ndio inakuwa na gundi yake ila vikopo unaweza kupata kariakoo na inategemea ni aina gan ya kikopo unachokitaka.Huwa zinauzwaje na je huwa na gundi yake kabisa