Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,754 Reaction score 4,746 Mar 13, 2013 #1 Husika na mada tajwa hapo juu. Je results slip zishaanza kutolewa?utaratibu wa utoaji ni ule ule wa Sikh zote wa Kwenda wizarani na si kwa Shula husika? Nawasilisha
Husika na mada tajwa hapo juu. Je results slip zishaanza kutolewa?utaratibu wa utoaji ni ule ule wa Sikh zote wa Kwenda wizarani na si kwa Shula husika? Nawasilisha
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,586 Reaction score 6,697 Mar 13, 2013 #2 Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi? Nenda shuleni kwako.
Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi? Nenda shuleni kwako.
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,754 Reaction score 4,746 Mar 13, 2013 Thread starter #3 Rogie said: Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi? Nenda shuleni kwako. Click to expand... Nashukuru kwa reply yako,ni suala la kijana hapa,si mimi moja kwa moja,nilidhan Huu mchakato una namna nyingine,thanks n way
Rogie said: Samahani,shuleni hamkupewa utaratibu wa kuchukua hizo RS? Wenzako wote uliomaliza nao pia hawajui wanachukulia wapi? Nenda shuleni kwako. Click to expand... Nashukuru kwa reply yako,ni suala la kijana hapa,si mimi moja kwa moja,nilidhan Huu mchakato una namna nyingine,thanks n way