leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,708 Feb 19, 2017 #1 Kwa anayefahamu baada ya kufanya claim ya VAT South Africa(SARS) malipo yanakuwa katika cheque au vipi? Na ni benki zipi za TZ zinazo process malipo baada ya kupokea cheque au any payment advisory? Natanguliza shukrani
Kwa anayefahamu baada ya kufanya claim ya VAT South Africa(SARS) malipo yanakuwa katika cheque au vipi? Na ni benki zipi za TZ zinazo process malipo baada ya kupokea cheque au any payment advisory? Natanguliza shukrani