Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukurani sana ndugu kwa mawazo hayo.Au Nenda pale halmashauri idara ya maji watakuelekeza vizuri
Kuna mambo kadhaa.Wadau,
Naoimba muongozo, nataka kuchimba bwawa kaajiri ya mifugo na kilimo cha umwagiliaji katika shamba lililoko bagamoyo. Muongozo wa jinsi ya kufanya hili na kama naweza pata mdau anafanya kazi hii.