Hongera kwa uthubutu, Cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kuangalia ni aina gani za pkpk zilizo kwenye mazingira yako ambapo unatarajia kufungua duka ambazo zipo nyingi mfano kama boxer, TVs au Gn (yan haoujue, San lg, fekon n•k). Hivyo itakusaidia kununua vipuri kutokana na aina za pkpk kwasababu sio kila kipuri unaweka durkan.
Lakin pia khs mahala pa kuchukulia mzigo kwa uchunguz wangu usio rasm naweza kusema Dodoma na Dar kwa bei za jumla naona bei ni rafik.
Angalizo kwa Dar wajanja wengi kwahyo wakat mwingine unaweza kuuziwa vipuri kwa bei ya juu kiasi flan!...
Ni hayo tu! Kama unaswali uliza.