SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Habari,
Kwa wale waliowahi kutumia mashine za kutotolesha vifaranga.
Nimejaribu zaidi ya mara tatu kutotolesha vifaranga kwa kutumia mashine lakini matokeo yamekuwa ni asilimia 25 tu ya idadi ya mayai ndio huanguliwa.
Naomba kujuzwa:
Kwa mtu anayetumia mashine kutotolesha vifaranga anapaswa kufanya nini toka anavyo tafuta mayai, kuyaweka kwenye mashine na hadi inapofikia siku ya 21 ili aweze kupata matokeo bora?
Asante