Naomba Mwongozo wa kumshtaki tajiri aliyenajisi Watoto

Naomba Mwongozo wa kumshtaki tajiri aliyenajisi Watoto

Una ushahidi? Suala nyeti kama hilo unataka muongozo humu JF? Huko siriaz!
 
Siku sio nyingi tutasikia kuna mwili umeokotwa vichakani hukoooo
 
It should be done undercover, not like this its very dangerous
 
Nenda police kama una ushahidi. Kesi za jinai Jamhuri ndio inashtaki siyo mtu binafsi. So ukienda police watajua wafanye nini kuanzia kufungua jalada, kumkamata mshukiwa, kufanya uchunguzi n.k
 
Kuwanajisi ni kuwafanya nini?

Umri na jinsia za watoto tafadhali!
 
Back
Top Bottom