Naomba Mwongozo wa kumshtaki tajiri aliyenajisi Watoto

Makala josee

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
511
Reaction score
447
Habari wanaJF,

Naomba muongozo wa jinsi ya kumshitaki tajiri mmoja aliewanajisi Watoto mapacha wa marehemu Dada yangu hapa Dar es Salaam

Asanteni
 
Una ushahidi? Suala nyeti kama hilo unataka muongozo humu JF? Huko siriaz!
 
Siku sio nyingi tutasikia kuna mwili umeokotwa vichakani hukoooo
 
It should be done undercover, not like this its very dangerous
 
Nenda police kama una ushahidi. Kesi za jinai Jamhuri ndio inashtaki siyo mtu binafsi. So ukienda police watajua wafanye nini kuanzia kufungua jalada, kumkamata mshukiwa, kufanya uchunguzi n.k
 
Kuwanajisi ni kuwafanya nini?

Umri na jinsia za watoto tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…