Habari zenu wakuu, samahani naomba kujuzwa juu ya hili. Dalili za mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi vinaanza kujitokeza baada ya mda gani baada ya maambukizi?? Na je inawezekana ukatembea na mtu aliyeathirika bila kutumia kinga na usiambukizwe?? Naombeni elimu kidogo juu ya haya.