Naomba mwongozo waheshimiwa

Mwashelii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
477
Reaction score
90
Habari zenu wakuu, samahani naomba kujuzwa juu ya hili. Dalili za mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi vinaanza kujitokeza baada ya mda gani baada ya maambukizi?? Na je inawezekana ukatembea na mtu aliyeathirika bila kutumia kinga na usiambukizwe?? Naombeni elimu kidogo juu ya haya.
 
Duh! Subiri mwezi m1 upite ukapime tu, na ukikutikana hauna usubiri mwezi mwengine ukapime tena.
Ivo ivo hadi uonekane uanze kutumia dawa! Umeskia mleta mada? Hahahahahaaaaaa! Just joking!
...
Ikiwa wewe ni m/me kuna uwezekano mkubwa wa kusex na ke alieathirika bila ya wewe kuupata! Ila usizoee kwenda kavu kavu na mtu usiemuamini/ambaye hamjapima pamoja!
 

asante sana mkuu kwa ushauri. Na kwa upande wa jinsia ya kike je?? poa nmeksoma .
 
pole sana kuanzia mwezi mmoja na kuendelea.
 
Ukiona unaanza kupata mafua malaini ujue tayari, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…