Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
Wadau wa jamvini heshima kwenu.Mimi naishi dar maeneo ya mwenge.Nina diploma ya computer science ila tangu nimalize sjabahatka kufanya kaz rasmi kwenye fani yangu kwa hyo naomba kuwezeshwa kupata nafasi kwenye ofsi ambayo naweza kufanya kaz ya kujitolea ili fani yangu isipotee .Lengo langu nipate uzoefu wa kaz wakat nasubiri ajira rasmi(ambayo sjajua ntaipata lini).Kwa mawasiliano nitafte kwa email huzy2006@gmail.com au namba ya simu 0717465686 na 0713986635 au ani PM.natanguliza shukuran.Naomba kuwasilisha na Mungu awabariki