kingphisher
Member
- Nov 30, 2024
- 45
- 79
Habarini wakuu.
Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi ya kazi ya networking. Chuoni tumesoma slides na theories za kutosha, hali ambayo haijanijengea uwezo wa kujiita networker.
Ombi langu: Naomba kwa wale wennye makampuni Binafsi, au watu ambao wana projects za networking, au mtu yeyote anayeweza kunisaida kupata nafasi basi anisaidie kuwa part of their networking team.
Nataka niwe na experience ya kutosha, lakini kama mnavyojua experience inapatikana site na sio kwenye makaratasi. Naombeni wakuu.
Am not limited to comouter networking, other IT tasks pia naweza kufanya isipokuwa programming/coding/developed.
Nipo Dar Es Salaam wakuu.