Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuingia mkataba na tanesco, nina uhakika bado anatengeneza hizo machine na kuuza.Sina ila kwasasa ashaingia mkataba na tanesco
Itakuwa mkuu na Kama sijakosea alisema gharama ya kutengeneza moja ni million 3, like kitu kikubwa Yani huyo jamaa inabidi awe bilionarePamoja na kuingia mkataba na tanesco, ni a uhakika bado anatengeneza hizo machine na kuuza.
Soma shule kijana.Kama kuna mtu humu aliye na mawasiliano ya mbunifu wa machine ya kuzalisha umeme inayotumia mfumo wa sumaku, Tafadhali anisaidie.
hivi zile Dynamo za bicycle si zipo? akajifunze hapoSoma shule kijana.
Hiyo ni physics ya form II /III.
Ahaa haaaah. Mkuu si rahisi kama unavyofikilia. Kwa taarifa mimi nimo kwenye tasnia ya uhandisi lakini sio electrical. Nilisoma technical secondary school (Tanga). Nikaenda Dar Tech (FTC) chuo kikuu nikabahatika nikasomea Germany. Kwa hiyo unaona isivyo rahisi physics ya form one na two ikawa kigezo cha kujitengenezea machine kama ya huyo jamaa. Mpe pongezi mbunifu huyo, ameweza kilichotushinda wengi wakiwemo Tanesco wenyewe I mean wahandisi wao na Technicians wao.Soma shule kijana.
Hiyo ni physics ya form II /III.
Hujaelewa chochote hpo mkuu na unasema physics ya form two cjuw[emoji16],, Iko hivii yule jamaa ametengeneza primary mover (engine) ,, wewe unaonglea electromagnetic induction ya bwana Faraday,,Soma shule kijana.
Hiyo ni physics ya form II /III.
Mimi mwanasayansi, nipe link.Hujaelewa chochote hpo mkuu na unasema physics ya form two cjuw[emoji16],, Iko hivii yule jamaa ametengeneza primary mover (engine) ,, wewe unaonglea electromagnetic induction ya bwana Faraday,,
Iko hivii,, Badala uchukue diesel engine au steam turbine au water falls kudrive alternator upate umeme yeye Kaunda hyo source of power, yaan hajaitumia sumaku kama media ku convert mechanical energy to electrical,, oyaa cjuw umenpata hapo au bado,, tunaweza kusema amekiuka Ile law of conservation of energy,, kamsiklize vzur YouTube utaelewa
Mimi mwanasayansi, nipe link.