Naomba namba za TBL

Naomba namba za TBL

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Wakuu nawasalimu. Tafadhali naomba mwenye namba za Tanzania Breweries makao makuu anisaidie. Zote nilizopata kwenye mtandao hazipatikani. Na ninashangaa pia kwa nini TBL hawana website yao.
 
Sijakabwa na bia yoyote mkuu ila nahitaji kuongea nao mambo ya biashara!
Mkuu ukifanikiwa kuwasiliana nao...waambie watuwekee na bia za HALICHACHI...Yaani mtu awe anaxhagua tu kuwa alewe siku ngapi! Kama vile KIFURUSHI CHA WIKI,SIKU au MWEZI..

usisahau please
 
IMG_8183.JPG
 
Au unataka utoe siri Kama tunakiwanda bubu huku chimbo tunatoaga copy
 
Back
Top Bottom