Sijakabwa na bia yoyote mkuu ila nahitaji kuongea nao mambo ya biashara!
Mkuu ukifanikiwa kuwasiliana nao...waambie watuwekee na bia za HALICHACHI...Yaani mtu awe anaxhagua tu kuwa alewe siku ngapi! Kama vile KIFURUSHI CHA WIKI,SIKU au MWEZI..Sijakabwa na bia yoyote mkuu ila nahitaji kuongea nao mambo ya biashara!