Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana hii sio Facebook
Nilitaka Kusema Kitu Lakin Hapana Acha Niwe Mpole Tuuuu
Ngoja Niendelee Kuvuta Bangi Zangu Tuuu
Usimalizee hcho cha arushaaaaNilitaka Kusema Kitu Lakin Hapana Acha Niwe Mpole Tuuuu
Ngoja Niendelee Kuvuta Bangi Zangu Tuuu
Usimwambie ataelewa tu michezo ya huku.... [emoji51] [emoji16]Kijana hii sio Facebook
Akishaelewa anakuja na id mpya hahaha,hii hataitaka tenaUsimwambie ataelewa tu michezo ya huku.... [emoji51] [emoji16]
Sawa sawa,Huyu kavamia asicho kijua
Si mpaka awe mjanja wa kubadili ID mpya. [emoji23] [emoji1]Akishaelewa anakuja na id mpya hahaha,hii hataitaka tena
Mdomo wako haujabaki wazi?Karibu sana kijana, naona umefanana sana na mama..... tehtehh[emoji12] basi nikutaadharishe tu uwe makini na mabazazi humu jukwaani.
Akishazoea ataelewa tuSi mpaka awe mjanja wa kubadili ID mpya. [emoji23] [emoji1]
Naona leo leo umeufumba mkuu... tehtehhMdomo wako haujabaki wazi?
Babu wafanyie usahili tena hao wajukuu zako ili uone kama sifa bado zipo kwenye kiwango stahiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdomo wako haujabaki wazi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , mfuate Pm mama, kijana wa watu mpole anaogopa kukujibu hapa.Eti mwanangu hivi naweza kupata shamba la kulima vitunguu huku iringa?
Hapana nimeuliza tu.Si shemasi mm, kwan vp
Ohooo! Wewe unapewa ushauri mzuri unajitia kuota mapembe wakati waonekana kijana mbichi kabisa.Sawa sawa,
Sina uhakika kama ulizaliwa unaijua JF.
Ni kujitia ujanja tu
Kabisa anatakiwa aokolewe mapemaHuyu kavamia asicho kijua