Naomba nielezwe kuhusu biashara ya kuuza vipuri vya pikipiki

Naomba nielezwe kuhusu biashara ya kuuza vipuri vya pikipiki

Habari wapenda mimi naitaji kufungua biashara ya kuuza spea za pikipiki asa san na aujue nipo Songea ningependa mwenye uwelewa anisaidie kunipa mchanganuo wake na pia mtaji ni kama kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ndugu cha msingi ni mtaji tu uwe Konki kiaina na usijaribu sema nataka kufanya biashara mengine muachie MUNGU alishapanga yake kitambo.
 
Back
Top Bottom